MOSHI CO-OPERATIVE UNIVERSITY | OFFICIAL ANNOUNCEMENT
MoCU Logo

MOSHI CO-OPERATIVE UNIVERSITY (MoCU)

WAFANYAKAZI BORA 2026

Tuzo za Utendaji Bora kwa Watumishi

Muda uliobaki kabla ya kuanza kwa upigaji kura

0
Siku
0
Masaa
0
Dakika
0
Sekunde
Piga Kura Sasa

Utangulizi

Zoezi la kupiga kura kuchagua wafanyakazi bora kwa mwaka 2026 litafanyika kwa mfumo wa kidigitali. Wafanyakazi wote wanahimizwa kushiriki kikamilifu katika zoezi hili muhimu.
⚠️ Tahadhari Muhimu

Kila mtumishi anatakiwa kutumia taarifa zake binafsi pekee.

Hairuhusiwi kutumia taarifa za mtumishi mwingine.

Mfumo unafuatilia matumizi yote — ukiukwaji utachukuliwa hatua za kinidhamu.

Taarifa Muhimu za Upigaji Kura
Tarehe 22 Aprili 2026
Muda 03:00 – 06:00
Njia ya Upigaji Kura MoCU Voting Portal
Washiriki
  • Waliopo masomoni
  • Wenye likizo maalum
  • Wasio thibitishwa kazini
Mahitaji
  • Namba ya mshahara
  • Namba ya NIDA